Cheni Awalipua Mastaa, Lulu atajwa!


Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu staa wa filamu Bongo Mahsein Awadh Dk Cheni asherehekea miaka kumi ya ndoa yake na mkewe sabrina zahrain ameibuka na kufunguka mazito . Katika sherehe hiyo iliyokuwa ya kihistoria ilifanyika ndani ya ukumbi wa Elegance uliopo Sinza Mori Dar walihudhuria watu mbalimbali wakiwemo baadhi ya mastaa. Subscribe, Like, Comment na Share kwa wengine...


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdates/

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com