Shuhudia Gigy Money, Dk. Mwaka Wanachokifanya LIVE!

Baada ya ukimya wa muda mrefu,aliekuwa mmiliki wa Kituo cha Tiba Asili cha Fore Plan, Dk Mwaka ameibuka live akiwa na Msanii wa Bongo Fleva Gigy Money katika kipindi cha Beauty and Styles cha Global tv kinachoongozwa na Mtangazaji wake Catherine Kahabi. Kipindi hiki kinachohusu maswala ya urembo kiliwakutanisha Dr Mwaka na Gigy Money kushiriki katika kipindi hiki kutokana na uzoefu wa utaalamu wa maswala ya Urembo alionao Dr Mwaka, Hata hivyo Gigy Money alipambwa kama Bibi Harusii ili kukamilisha Mada ya siku hiyo. Subscribe, Like, Comment na Share kwa wengine...
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdates/
Post a Comment