(Video) Wabunge wa Upinzani Wagomea Tena Kuapishwa Mbunge wa CUF ya Lipumba

Sekeseke ndani ya chama cha wananchi CUF, limeendelea kulitingisha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo kwa mara nyingine, wabunge wa upinzani wakiongozwa na Chadema, wametoka nje kugomea kuapishwa kwa mbunge mmoja aliyesalia, kati ya wabunge nane walioteuliwa na CUF ya Lipumba.
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdates/
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdates/
Post a Comment