FULL HIGHLIGHTS: AZAM FC 1-2 YANGA SC, VPL (27/01/2018)


Ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa leo katika dimba la Chamazi Dar es Salaam na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

 Mabao yote yamefungwa kipindi cha kwanza, wakitangulia Azam kupitia kwa Shabani Idd dakika ya 4, na kisha Yanga wakapata mabao yao kupitia kwa Obrey Chirwa dakika ya 31 na Gadiel Michael dakika ya 44.
SOURCE Azam TV


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com