JUST A MINUTE: 29th Jan 2018 | Hosted by Jayjoe “Jizzle” aka MangiThe3rd

Baada ya jamaa kuuza #nyago kwenye #kichupa cha #zilipendwa, ndipo wadau wakaanzisha #tetesi kwamba ni lazima ataamia #wcb, Naam!… Jana 28th January 2018, kizuri kikubwa ambacho kimetokea katika #tasnia ya #muziki wa #kizazikipya, ni WCB™ kumtambulisha kijana #marombosso ambaye sasa hivi atakuwa akifahamika kama @mbosso na kwamba ni #msanii rasmi chini ya usimamizi wa #recordlabel ya WCB™. Katika kuadhimisha hilo, WCB™ ikiongozwa na #mkurugenzi wao @diamondplatnumz waliandaa #sherehe ya kumtambulisha katika viwanja vya #hotel ya Hyatt Regency and it was #allgood in da hood!.
SUBSCRIBE DJChokaMusic
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment