RC Makonda Atoa Machozi Kisa Wazee hawa kudhulumiwa nyumba


Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda Jumamosi hii ameshindwa kujizua na kutoa machozi ya uchungu baada ya kumsikiliza mama mstaafu ambaye amedai kudhulumiwa nyumba yake Plot 61, Block B iliyopo Tegeta Jijini Dar es Salaam na mfanyabishara mmoja ambaye walimuazima pesa kwaajili ya kulipia mkopo benki.
SOURCE Bongo5


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com