SHILOLE "Sitakubali Uchebe aoe Mke wa Pili kwani mimi nina mapungufu gani..?"


Baaada ya Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainab Abdallah, kushangaza watu wengi kwa kutoa pongezi kwa Mume wake baada ya kuoa mke wa Pili, Sasa Mwanamuziki Shilole yeye amesema kwamba katu hawezi kukubali Mumewe Uchebe aoe mke wa Pili hata kama dini yake inaruhusu.
SOURCE Millard Ayo

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com