TAZAMA DIAMOND NA MOBETO WALIVYOWASILI TENA MAHAKAMA YA KISUTU LEO


Msanii Diamond Platnumz na mwanamitindo Hamisa Mobeto, kwa mara nyingine wamefika kwenye Mahakama ya Watoto ya Kisutu, kufuatilia mwenendo wa shauri lao la malezi ya mtoto waliyezaa pamoja. Akiwa amevalia gauni jekundu na blauzi ya mistari, hamisa ndiye aliyekuwa wa kwanza kuwasili mahakamani hapo akiwa ameongozana na mwanasheria wake, baadaye akawasili Diamond aliyekuwa amevalia shati la kitenge, akiwa ameongozana na mlinzi wake pamoja na wanasheria wake na kutinga kuingia mahakamani hapo. 


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com