Ushindi wa 4-0 wa Yanga vs Njombe Mji, Obrey Chirwa akipiga hat-trick


Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Dar es salaam Young Africans leo walikuwa nyumbani katika uwanja wao wa Uhuru kuikaribisha timu ya Njombe Mji kutoka Njombe. Yanga wakiwa nyumbani wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0 na kufanikiwa kuvuna point zote tatu, magoli ya Yanga yalifungwa na Obrey Chirwa aliyefunga hat-trick dakika ya na Emmanuel Martin.

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com