(Video) ALICHOFANYIWA BAUNSA WA DIAMOND, HATOSAHAU!

Mpango mzima wa 'Birthday Party' ya baunsa wa Mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anayefahamika zaidi kwa jina la Mwarabu Fighter, ulifanyika katika fukwe za Sea Breeze zilizopo Mbezi Beach, jana Februari 11, 2018. Ambapo Mashabiki wa Mwarabu Fighter na wageni waalikwa wote walipata nafasi ya kukata keki pamoja na baunsa huyo. kupiga stori mbili tatu, na mwisho kabisa wakamfanyia 'suprise' ya kumsukuma kwenye swimming Pool kwa kumshtukiza jambo ambalo hatalisahau.
SOURCE Global TV Online
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment