LIPULI FC 2-1 NDANDA FC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (04/03/2018)

Timu ya Lipuli FC leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa katika dimba la Samora, mjini Iringa. Mabao ya Lipuli yote yamefungwa na Adam Salamba dakika ya 19 na 64 huku bao la Ndanda likifungwa na Nassoro Kapama dakika ya 21. Mara baada ya mchezo, kocha wa Ndanda Malale Hamsini amelalamikia maamuzi katika mchezo huo.
SOURCE Azam TV
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment