Makonda amvaa mwanafunzi aliyedaiwa kutekwa ‘wakimalizana nae Iringa watuletee Dar’


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewashangaa baadhi ya watu wanaochafua mkoa wa Dar es salaam kwa kusema kuwa hakuna ulinzi na usalama ile hali mkoa kwa sasa upo salama ukilinganisha na miaka ya nyuma.
SOURCE Bongo5

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com