Story Kamili: Ajali iliyotokea kwenye mchezo wa mbio za magari Tanga

Ni katika mbio za magari zilizofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Tanga, ambapo kwa mujibu wa Michael Maluwe, ajali hiyo imetokea baada ya dereva wa gari moja kushindwa kukata kona na kupitiliza pembeni walipokuwa mashabiki. Katika ajali hiyo, mtu mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa. Msikilize hapa Michael Maluwe ambaye ni mtayarishaji na mtangaji wa kipindi cha mbio za magari cha Azam TV, alipokuwa kwenye kipindi cha Morning Trumpet leo asubuhi.
SOURCE Azam TV
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment