Wanawake TAA waungana na wenzao Mlimani City Jijini Dar es Salaam
![]() |
|
Maandamano
ya wanawake ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani yamefanyika leo Machi 8,
2018 kwa mkoa wa Dar es Salaam na kauli mbiu ni Kuelekea uchumi wa viwanda
tuimarishe usawa wa Jinsia na uwezeshaji wa wanawake vijijini, ambapo
pichani ni wanawake wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), nao
waliungana na wenzao kusherehekea siku hiyo.
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
|





Post a Comment