Mzalendo - FYATUA BOMU (Official Music Video)

Hakika sina chembe ya unafiki moyoni mwangu ndio maana sinabudi kujitoa kukemea maovu yenye lengo la kulipeleka pabaya taifa langu.. .. . Mimi nitakua Mtanzania gani ikiwa Tanzania yangu inaharibiwa ninyamaze kwa kuhofia kufungwa? Mimi nitakua Mzalendo gani ikiwa nitanyamaza kimya pale viongozi wetu wanapovunja Sheria na katiba ya nchi yetu kwa kuhofia kufa? NIKINYAMAZA BASI NTAKUA NIMEISALITI NCHI YANGU NILIO APA KUIPENDA KWA MOYO WANGU WOTE NA KWA HILO.. "SIKORSKY TAYARI".
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment