PROF JAY Alivyotumia staili ya 'Ku-Rap' Bungeni

Mbunge wa Mikumi kupitia Chadema, Joseph Haule, akichangia Mjadala wa ujenzi wa barabara uliopo katika bajeti ya wizara ya ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kwa mwaka 2018/19, iliyosomwa juzi na Waziri wake, Profesa Makame Mbarawa. Mbunge Joseph Haule ambaye ni msanii wa Hip Hop nchini, amemuomba Mwenyekiti wa Bunge hilo atumie staili ya kurap katika kuchangia hoja yake ili aweze kutumia Dakika tano ipasavyo.
SOURCE Global TV Online
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment