PROF JAY: "Kupiga Selfie, Kula Ubwabwa na Wasanii, Mnadhani Mmewasaidia"

Mbunge wa jimbo la Mikumi kwa tiketi ya Chadema, Joseph Haule 'Profesa Jay', akichangia hoja katika mjadala wa bajeti ya wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, iliyowasilishwa bungeni hapo na Waziri mwenye dhamana, Dkt Harrison Mwakyembe. Profesa Jay amesema anasikitishwa sana na kitendo cha serikali kupora kiwanja cha mpira kilichopo katika shule ya Ruaha na kudai ni cha kwake.
SOURCE Global TV Online
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment