"Rammy alisema siku ya msiba wa MASOGANGE atatafuta KIKI, ninao ushahidi" - Irene

Muigizaji Irene Poul amezungumza kwa mara ya kwanza na Ayo Tv toka alipo-post ujumbe kuhusu Rammy ambaye alionekana akibebwa na wasanii wenzake wakati alipopoteza nguvu kwenye msiba wa marehemu Agness Masogange.
SOURCE Millard Ayo
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment