(Video) Safari ya mwisho ya AGNESS MASOGANGE katika nyumba yake ya milele

Leo Aprili 23, 2018 mamia ya wakazi wa mkoa wa Mbeya wamejitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Video Vixen, Agness Masogange katika kijiji cha Utengule. Ambapo watu maarufu na viongozi wa serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.
SOURCE Bongo5
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment