ROSA REE asaini LEBO Mpya, akabidhiwa NYUMBA ya MILIONI 400 Bongo


Msanii wa muziki wa HIP HOP Bongo, ROSA REE amepata menejimenti mpya ‘Dimo Production’ kutoka nchini Afrika kusini. Menejimenti hiyo imemkabidhi nyumba yenye dhamani ya zaidi ya Milioni 400, nyumba hiyo ipo Tanzania na nyingine Afrika Kusini.
SOURCE Bongo5

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com