MPAKA HOME: "Kanumba Alimpitia Tu Aunt, Mimi Niliishi Nae Kabisa"- Haji Adam


STAA wa filamu za Kibongo, Haji Adam 'Baba Haji' ameibukiwa usiku mnene na kipindi kinachozidi kujizolea umaarufu cha Mpaka Home na kufanyiwa mahojiano ambayo ni ya kipekee (exclusive). Katika mahojiano hayo, msanii huyo mwenye uwezo mkubwa wa kuigiza, alifunguka mambo mengi ambayo hakuwahi kuyasema mahali popote.

 Baba haji alianika ukweli juu ya uhusiano wake na msanii Irene Uwoya huku akikiri kuwahi kuishi kinyumba na msanii Aunty Ezekiel, jambo ambalo halikuwahi kutajwa mahali popote. Unajua alisema nini juu ya jambo hilo? Tazama mahojiano haya murua kabisa.


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdate

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com