Mapokezi ya Rais wa FIFA Tanzania kuanzia kwenye ndege


Alfajiri ya February 22 2018 Rais wa shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA Gianni Infantino akiongozana na Rais wa shirikisho la soka Afrika CAF Ahmad Ahmad waliwasili Dar es Salaam Tanzania kwa ajili ya mkutano wa FIFA utakaofanyika nchini Tanzania February 22 2018. Infantino ndio amewasili kwa mara ya kwanza Tanzania toka awe Rais wa shirikisho la soka ulimwenguni FIFA na amepokelewa na viongozi mbalimbali wakiwemo waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo DR Harrison Mwakyembe na mwenyekiti wa baraza la michezo taifa Leodger Tenga na Rais wa TFF Wallace Karia.
SOURCE Millard Ayo


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com