HALI HALISI Nyumbani kwa Kina Akwilina Wakisubiri Mwili wa Marehemu


KUFUATIA kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT), Akwilina Akwilini ambaye mwili wake umeagwa leo katika viwanja vya chuo hicho na kusafirishwa kwa mazishi, Global Publishers imeshafika nyumbani kwao na marehemu wilayani Rombo-Mashati na kushuhudia maandalizi ya kaburi ambamo atazikwa marehemu. Maandalizi ya kuchimba kaburi hilo yamefanywa na ndugu na jamaa katika shamba la makaburi ya familia yao yaliyopo kijini kwao. Akwilina alifariki dunia Februari 16, 2018 baada ya kupigwa risasi kichwani akiwa kwenye daladala wakati polisi wakiwatawanya waandamanaji ambao ni wafuasi wa Chadema.


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com