BREAKING: UFAFANUZI KUHUSU KUPIGWA MARUFUKU VIKUNDI VYA MAZOEZI 'JOGGING'

Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Kikosi cha Usalama Barabarani kimepiga marufuku vikundi vya mazoezi(Jogging) vinavyotumia barabara kubwa na kuathiri matumizi mengine ya barabara - AyoTV imempata Mkuu wa kikosi hicho, Marison Mwakyoma kwenye huu ufafanuzi
SOURCE Millard Ayo
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment