Just A Minute 06th March 2018: Prepared & Hosted by Jayjoe “Jizzle” aka MangiThe3rd

Kwa wale wapenzi wa #afropop #afrobeats, Leo iko habari njema kwa ajili yenu hapa kutoka kwa #gwiji - #mnenguaji #mtunzi & #mwimabaji wa #miondoko hiyo hapo,
huyu anafahamika RASMI kabisa kama #SuperNyamwela™
@nyamwelasuper | @nyamwelasuper | @nyamwelasuper.
Ameachia #kichupa kipya kabisa mbali na kile cha #kochokocho ambacho alifanya na STARBOY, Hiki hapa kinaitwa #SAULA #SAULA #SAULA - Mdundo umegongwa na mwanae mmoko wa kuitwa HIZAM™ na Video imekua DIRECTED na O - KEY pia amesisitiza sana kwamba yeye ni #oldschooldude kwa kusema: “mambo yangu ya zamani, ya kisasa siyawezi - SAULA!”
KUFAHAMU ZAIDI JUU YA ENTERTAINMENT NEWS TAFADHALI TEMBELEA - WWW.DJCHOKAMUSIC.COM & BETTER YET
GET THE APPLICATION KABISA - AT PLAYSTORE!.
SUBSCRIBE DJChokaMusic
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment