Magoli ya Township Rollers vs Yanga yaliothibitisha ubora wa Township

Mabingwa wa Tanzania club ya Dar es Salaam Young Africans leo walikuwa wenyeji wa Towship Rollers ya Botswana katika mchezo wa kwanza wa round ya kwanza wa michuano ya club Bingwa Afrika uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga wakiwa nyumbani wamejikuta wakikubali kipigo cha magoli 2-1, hivyo wameweka rehani nafasi yao ya kufuzu kucheza hatua ya makundi ya michuano ya club Bingwa Afrika, magoli ya Township yalifungwa na Lemponye dakika ya 11 na Sikele dakika ya 83 wakati goli pekee la Yanga likifungwa na Obrey Chirwa dakika ya 30.
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment