Kauli ya Rais wa Simba kuelekea mechi ya marudiano dhidi ya Al Masry

Baada ya Simba kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na Al Masry kutoka nchini Misri, Kaimu Rais wa Simba Salum Abdallah ametoa kauli akieleza ni kwanini anaamini Simba itafanya vizuri katika mchezo wa marudiano utakaopigwa nchini Misry. Salum alizungumza LIVE akiwa ndani ya dimba la Taifa, kupitia kipindi cha Mshikemshike Viwanjani, kinachuruka kila siku saa 3:00 hadi saa 3:30 usiku.
SOURCE Azam TV
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment