Mwanafunzi Mwingine Auawa Kinyama


Akisimulia tukio la kutisha kwa majonzi , baba mzazi wa Marehem Shija ,Daudi Shija Kasuku alisema kuwa, usiku wa Februari 26 mwaka huu mishale ya saa4 usiku alipiga simu na mtu ambaye hakujitambulisha na kumuuliza kama yeye ndie baba wa Shija? Alimwambia yeye sio baba wa Shija bali ni mama wa Shija ndipo nalipomwambia mtoto Shija amepata matatizo akiwa Hostel Ilala na amekimbizwa hospitalini (Amana) “Tulivyopata ile taarifa tulishtuka mno tukatoka mbio mpaka hospitali ya Ilala (Amana)tuliyotajiwa na Yule mtu aliyetupa taarifa”.
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com