Nini Kafunguka Nay wa Mitego Kutohudhuria Party Yake!


Nini Kafunguka Nay wa Mitego Kutohudhuria Birthday Yake Msanii wa Bongo Fleva, Nini, aliyetikisa hivi karibuni kufuatia skendo yake ya kuvunja amri ya sita na rapa, Nay wa Mitego, amefungukia sababu za rapa huyo kutofika kwenye birthday party yake iliyofanyika usiku wa Machi 3, 2018. Nini amesema kuwa Nay ametingwa na majukumu mengi, ndiyo maana ameshindwa kufika, lakini alitamani sana kuhudhuria. Nini ni msanii anayetamba na ngoma yake ya Dawa aliyompa shavu Nay wa Mitego, ambapo kwa mara kadhaa amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na rapa huyo.
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com