Mstaafu J.K, Diamond na wengine msibani kwa Dr. Mwakyembe

Watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa, wasanii na watu mashuhuri wameendelea kufika nyumbani kwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe kutoa pole kufuatia kifo cha mkewe Linah George.

Ayo TV imewashuhudia Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete, mwimbaji Diamond Platnumz pamoja na wengine.

Source: Millard Ayo

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com