(Video) Harmorapa atua msibani kwa Waziri Mwakyembe, afunguka haya
Msanii wa muziki wa hip hop, Harmorapa amekuwa mmoja kati ya wasanii
waliofika kwenye msiba wa mke wa Waziri Mwakyembe, Bi Linah. Rapa huyo
alipata nafasi ya kuuzungumzia msiba huo na namna ulivyoigusa tasnia ya
burudani.
SOURCE: Bongo5
Post a Comment