(VIDEO) Maswali 6 aliyojibu Simon Msuva baada ya kutua Airport DSM


Winga mshambuliaji wa Tanzania Taifa Stars anayeichezea Difaa El Jadid ya Morocco Simon Msuva leo asubuhi ya August 31 amewasili Dar es Salaam akitokea Morocco kwa ajili ya kuungana na Stars. Msuva amewasili Tanzania ili kuungana na kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mchezo ambao upo kweye kalenda ya FIFA vs Botswana Jumamosi September 2 uwanja wa Uhuru ambapo hii ni mara ya kwanza kwa Msuva kurudi Tanzania toka ajiunge na Difaa El Jadid ya Morocco.

Source: Millard Ayo

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com