Jux: Niliumia na kukwazika sana baada ya kugundua Jackie Cliff anafanya biashara ya unga


Hii ni sehemu ya pili ya kipindi cha Chill na Sky tukiwa na Jux. Kwenye sehemu hii anaelezea kumalizia shule, utajiri wake pamoja na kilichotokea baada ya aliyekuwa mpenzi wake kabla ya Vanessa Mdee, Jackie Fitzpatrick (Jackie Cliff) kukamatwa na kufungwa jela nchini China kutokana na biashara ya dawa za kulevya (nenda hadi dakika ya 23 kusikiliza sehemu ya Jackie)


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdates/

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com