"Sio kila anayepata ujauzito amependa, Rais alitazame upya" – Ester Matiko


Rais Magufuli aliwahi kuwa kwenye Headlines kwa kutoa tamko kuwa Serikali ya Awamu ya Tano haitaruhusu mwanafunzi aliyepata ujauzito akiwa shule kuendelea na masomo baada ya kujifungua ambapo kila mmoja aliipokea kwa hisia tofauti…Ayo TV inaye Mbunge wa Tarime Mjini Ester Matiko na kueleza kuhusu tamko hilo.

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdates/

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com