"VYUMA VIMEACHIA" DSTV-TANZANIA YATANGAZA KUPUNGUZA BEI YA VIFURUSHI VYAKE

Habari njema kwa wadau wa kabumbu na wateja wote wa DStv kiujumla! Kuanzia tarehe 1 mwezi wa 9 mwaka 2017 bei zitapungua kama ifatavyo kwa Vifurushi vyote vya DStv:-

 

1.Premium kutoka 184000 mpaka 169,000/= tu!
 

2.Compact Plus kutoka 122500/= mpaka 109,000/= tu!
 

3.Compact kutoka 82,500/= mpaka 69,000/= tu!
 

4. Family kutoka 42,900/= mpaka 39,000/= tu!
 

5.Bomba kutoka 19,975/= mpaka 19,000/= tu!

Kwa Maelezo zaidi +255789476655

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com