RC Makonda amjibu Mhe Nyalandu 'Dira ya mafisadi ndio imepotea'
Baada ya siku ya jana aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Samwel Nyalandu kutangaza kukihama Chama Cha CCM kwa madai kimepoteza mwelekeo na kushindwa kuikosoa serikali, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amemjibu mwanasiasa huyo kwa kueleza baadhi ya mambo ambayo yamefanya na serikali hiyo inayoongozwa na chama cha CCM.
Source: Bongo5
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdate
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdate
Post a Comment