ALIEMLIPA LULU KABLA YA KWENDA JELA AZUNGUMZA


Isike Samweli ni Mwigizaji na Mkurugenzi wa kampuni ya Halisi Filamu ambapo kwenye hii video amezungumzia taarifa za kwamba amekua na uchungu wa fedha zake alizomlipa Mwigizaji Lulu ambaye hivi karibuni alihukumiwa kwenda jela miaka miwili.

SOURCE: Millard Ayo

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com