ENEWZ - Mesen Selekta: S2keezy amekosea


Ni Baada tu ya muandaaji kutoka katika studio za Switcher kujinadi kuwa yeye pamoja na Abba na Luffa wao ndiyo waandaaji wapya wanaofanya mziki wa kisasa, na kumtaja T Touch na Mesen kuwa wakati wao umepita, Kupitia Enewz Mesen ameamua kumjibu na kumuambia kuwa amekosea sana kusema hivyo.


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com