EXCLUSIVE INTERVIEW: JAY MOE! Amuelezea, DKT SHIKA, LULU! Muziki na Maisha na Maisha Yake!


Mwanamuziki Nguli wa Bongo Fleva, J Mo, anayetamba kwa sasa na kibao chake cha me&you, alichomshirikisha mwanadada kutoka South Africa, anayeitwa Camilah, amefunguka kuwa siku akikutana na Bilionea aliyetaka kununua Nyumba za Lugumi, Dkt Shika, atamshauri asikate tamaa, aendelee kupambana na aongeze bei ya juu zaidi mpaka afanikiwe kununua hizo nyumba.


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com