Nyalandu kuanza kuchunguzwa na TAKUKURU na Polisi, Kigwangalla aagiza


Kutoka Bungeni Dodoma leo November 13, 2017 ni agizo alilotoa Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisi Kigwangalla kuagiza Jeshi la Polisi pamoja na TAKUKURU kuanza kumchunguza mara moja aliyewahi kuwa Waziri wa Wizara hiyo Lazaro Nyalandu kufuatia tuhuma mbalimbali zinazomkabili.

SOURCE: Millard Ayo

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdate

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com