Ufafanuzi kuhusu kupiga picha kwenye daraja la Nyerere "Kigamboni"


Kama unakumbuka baada ya uzinduzi wa daraja la Nyerere 'Kigamboni" watu wengi walimiminika kwa ajili ya kupiga picha kwenye daraja hilo. Sasa leo NSSF ambao ndio wanasimamia mradi huo wameeleza utaratibu mpya wa kupiga picha eneo hilo ambapo mtu atatakiwa kuwa na kibali.

SOURCE Millard Ayo

Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdate

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com