TANZIA: Mchezaji wa Zamani wa Yanga Afariki Dunia


TANZIA: Mchezaji wa Zamani wa Yanga Afariki Dunia Mapema leo alfajiri Mchezaji wa Zamani wa Yanga na Taifa stars Athuman Juma Chama "Jogoo" amefariki dunia. Athuman Juma alikuwa beki kisiki wa Yanga na Taifa Stars.Leo Athuman ametangulia kwa Muumba wetu apumzike kwa Amani Athuman Juma Chama Hakika kila nafsi itaonja umauti.


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com