ENEWZ - "Mimi ni tofauti ya wasanii wote Bongo" Joh Makini

Rapa kutoka kundi la Weusi Joh Makini amesema tungo anazozitumia kwa sasa kwenye mziki wake ni kutokana na mabadiliko ya muziki na anaonyesha art kwenye nyimbo zake na kusema mtu anayemfatilia afatilie mziki wake kwa kuwa maisha yake binafsi hayamuhusu na yeye sio mtu wa show off.
SOURCE EastAfricaTelevision
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment