Goli la Azam Dhidi ya Simba Kombe la Mapinduzi


Azam FC imeitibulia Simba safari ya ushindi baada ya kuipiga kwa goli 1-0 kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi, mchezo wa Kundi A uliopigwa kwenye uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar. Ushindi huo umeifanya Azan kupanda hadi kileleni mwa kundi hilo, ikifikisha pointi 9 ikifuartiwa na URA ya Uganda yenye pointi 7 na Simba ikibaki nafasi ya 3 ikiwa na pointi 4


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com