Joh Makini, Quick Rocka, B Dozen na Mimi Mars baada ya kununua Album ya Vanessa
January 20, 2018 Muimbaji wa Bongoflevani Vanessa Mdee amekutana na mashabiki wake Mlimani City Dar es salaam na kuwauzia album yake mpya ya Money Mondays, mastaa mbalimbali walijitokeza kumpa sapoti Vanessa wakiwemo Jux, Bdozen na Joh Makini.
SOURCE Millard Ayo
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment