Kilichomkuta Huyu Msanii Baada ya Kuposti Picha za Utupu!!


NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, amesema serikali inafuatilia kwa karibu wasanii wote wanaoweka picha zisizo na maadili kwenye mitandao na itawachukulia hatua. Shonza ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaama alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari akisisitiza agizo lililotolewa na Rais John Magufuli mjini Dodoma wakati akizungumza na Jumuiya ya Wazazi ya CCM ambapo alivitaka vyombo husika kuwachukulia hatua wasanii hasa wa kike ambao wamekuwa wakivaa nguo zinazosababisha kumomonyoka kwa maadili. Shonza aliwataja kwa majina wasanii ambao wameanza kuwachukulia hatua ambapo baadhi wametakiwa kufika ofisini kwake ambapo mmoja amefungiwa kujihusisha na masuala ya sanaa kwa muda wa miezi sita. Shonza amemtaka msanii, Jane Rimoy maarufu kwa jina la Sanchi kufika ofisini kwake mara moja kutokana na kuchapisha mitandaoni picha zisizo na maadili.


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com