NABII TITO KUMBE CHIZI, CHEKI ALICHOMJIBU KAMANDA WA POLISI
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikialia Onesmo Machibya maarufu kama Nabii Tito kwa kosa la kuenzeza chuki dhidi ya dini nyingine anaoufanya kufatia kusambaza vipande vya video mitandaoni. Nabii Tito amekutwa na kosa la kuvunja kifungu cha sharia namba 129 cha kanuni ya adhabu sura 16 na marekebisho yake ya mwaka 2002. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amesema walimfikisha mtuhumiwa huyo Hospitali ya Rufaa ya Magonjwa ya Akili, Milembe mjini Dodoma na baada ya vipimo alibainika ana matatizo ya akili lakini wamedai bado wanaendelea na uchunguzi kubaini iwapo ana akili timamu au anafafanya makusudi.
SOURCE Global TV Online
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment