"Siwezi muita Heri Muziki mpenzi wangu kanidhalilisha redioni" Diva


Siku ya January 19, 2017 Mtangazaji wa Clouds Fm Diva the Boss alikuwa kwenye Interview ya Kipindi cha LEO TENA na mpenzi wake Heri Muziki.Ambapo Heri aliulizwa kuhusu uhusiano na Diva na hakutaka kusema direct kama Diva ni mpenzi wake kitu kilicho mkera Diva hadi kupishana.
SOURCE Millard Ayo


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com