Staa wa soka amepata kichaa baada ya kutapeliwa Tsh Bilioni 75 na mchungaji


Ijumaa ya January 12 2018 katika mitandao ya kijamii zimeenea taarifa za kusikitisha kuhusu staa wa zamani wa soka wa kimataifa wa Nigeria aliyewahi kuvichezea vilabu mbalimbali Ulaya Wilson Oruma kuripotiwa kuwa amepata ukichaa. Oruma ameripotiwa kupata ukichaa baada ya kutapeliwa na mchungaji (Pastor) wake Naira bilioni 1.2 ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni 75 za kitanzania, ambapo mchungaji huyo alimshauri Oruma ampatie pesa hizo ili wafanye uwekezaji katika biashara ya mafuta.

SOURCE Millard Ayo


Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE 
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat

No comments

TUTUMIE UPDATES ZAKO KUPITIA
WhatsApp: +255 658 164282

Email: djchoka@gmail.com