TANZIA: Muigizaji ABDUL NACHONA (NIKI) amefariki.
Muigizaji Abdul Nachona
Jina la kisanii( Niki)
Alikuwa msanii wa kidedea .
Amefariki Leo Dar as salaam msiba upo mbagala kwa mbiku.
Mazishi yatafanyika Leo saa 7 mchana Mbagala kwa mbiku
Tamthilia alizocheza akiwa Kidedea JIREKEBISHE na kizaa Zaa no
Mwenyezimungu AMLAZE mahali Pema peponi
Kwa mawasiliano 0713 344 333
Download DJChokaUpDates Android Application Click >>> HERE
TWITTER @DJChokaUpDates
INSTAGRAM @DJChokaUpDates
FACEBOOK FANS PAGE>>> https://www.facebook.com/djchokaupdat
Post a Comment